Je, ulishawahi kujaribu kujiunga LinkedIn premium ukashindwa? Ulishindwa kwa sababu ulitakiwa kulipia? Je, linkedIn premium ina faida gani?
Hata mimi kipindi najiunga LinkedIn sikujua kama kuna Premium yake na sikujua kama ninaweza kupata for free. Kuna siku Mentor wangu akanielekeza jinsi ya kuitumia, na leo hii nimekusogezea hatua kwa hatua jinsi ya kujiunga Linkedin premium bure pamoja na faida zake.
Kwanza ijulikane kuwa linkedin premium ni ya kulipia LAKINI inatolewa bure kwa mwezi mmoja tu wa mwanzo mara tu baada ya kujiunga.
Offer hii ni kwa yeyote ambaye ndio mara yake ya kwanza kujiunga Linkedin premium baada ya hapo atatakiwa kusitisha au kulipia ili kuendelea.
Jinsi ya kujiunga LinkedIn Premium Bure.
1. Nenda kwenye profile yako ya linkedIn.
Bonyeza profile yako, angalia chini sehemu iliyoandikwa “Try Premium for free, au Try Premium for TZS0”. Kwa yule ambae tayari ameshawahi kuitumia atakuta imeandikwa “Reactivate premium”. Bonyeza hiyo sehemu kama inavyoonekana hapa.
2. Jibu maswali utakayoulizwa.
Baada ya kubonyeza Try premium itakupeleka sehemu ambapo utatakiwa kujibu baadhi ya maswali kwa kutick vibox vilivyopo, bonyeza NEXT, waweza pia kubonyeza skip ili kuendelea
3. Chagua huduma unayoitaka
Hapo kuna huduma nne ambazo LinkedIn huzitoa utachagua mwenyewe unataka ipi kati ya Career, Business, Sales Navigation Core au Recruiter
Kati ya huduma hapo juu bonyeza huduma moja unayotaka kufaidika nayo. 👇
4. Bonyeza Try 1 month free ili kuendelea.
5. Chagua njia ya malipo na jaza taarifa za malipo.
Hapa unaweza kutumia Mpesa visa card au kadi yako ya Bank kujaza taarifa zinazohitajika. Ikiwa huna visa kadi unaweza kutengeneza mpesa visa card kwenye simu yako ndani ya dakika moja.
Kumbuka: hakuna pesa yoyote utatozwa ndani ya mwezi mmoja baada ya kujisajili ni BURE, hautakatwa pesa yoyote iliyopo kwenye kadi yako mpaka mwezi mmoja utakapoisha.
6. Bonyeza Start my Free Trial.
Hapo utakuwa tayari umemaliza kujiunga LinkedIn premium bure ndani ya mwezi mmoja wa mwanzo.
LinkedIn hutoa offer hii kila baada ya mwaka mmoja maana yake ukijiunga leo kupata tena offer hii ni mwakani tarehe kama ya leo.
Faida za kutumia LinkedIn premium.
1. Fursa ya kusoma kozi mbali mbali bure.
Kozi yoyote unayotaka kusoma mfano Marketing, Recruiting processes, Graphic designing, SEO, Video Editing, Copyrighting, Human development n.k utazipata kwa 0TZS ni wewe na bando lako tu.
Baada ya kumaliza kozi utatunukiwa cheti cha kumaliza kozi hiyo ambayo unaweza kuweka kwenye profile yako, sehemu ya Licence and certification kwa sababu watakupa Url ya kuweka pale.
2. Fursa ya kuona nani ameangalia profile yako.
Mara nyingi kama huna premium huwezi kuona ni kina nani wameangalia profile yako, kwa wale ambao hawana premium ukiangalia who’s viewed your profile haionyeshi sura za walioangalia profile yako. Kwa hiyo premium itakupa fursa hiyo ya kuona watu wanaopekua ukurasa wako.
Fursa hiyo itakupa njia nzuri ya wewe kuangalia ni vitu gani ufanye ili uwavutie zaidi hao wanaopakua kurasa yako kwa sababu mtu hawezi kuangalia profile yako pasipo sababu yoyote.
3. Fursa ya kutuma ujumbe kwa mtu yeyote Linkedin.
Baada ya kujisajili, utapata fursa ya kumtumia mtu yeyote ujumbe iwe ni 1st au 2st connection wako. Mfano, unataka kutuma ujumbe (Dm) kwa mtu uliyevutiwa na post zake lakini baada ya kubonyeza ile button ya Message unaambiwa “Message X with premium” au kwenye ile message kuna kikufuli yaani huwezi kutuma ujumbe kwa mtu mpaka ujisajili na premium.
Kwa hiyo ukishajiunga premium utapewa hiyo ruksa ya kutuma ujumbe kwa yeyote yule.
4. Fursa ya kutuma Inmail kwa waajili Linkedin.
Kama utachagua career premium plan utapewa ruksa ya kutuma inmail kwa waajili utakaopendezwa nao ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza kuwa mkombozi wako kwenye suala la ajira/kazi.
Kuna fursa nyingi pia kwa wale waajili wanaotafuta kuajili wafanyakazi kwenye kampuni, biashara zao kupitia LinkedIn.
5. Inatoa taarifa kuhusu nafasi za kazi zinazotangazwa na makampuni.
Hivyo ndivyo unaweza kujiunga linkedin premium bure kabisa. kama bado hujajiunga Linkedin unaweza kuangalia hapa jinsi ya kujiunga linkedin na jinsi ya kutengeneza profile itakayokupatia fursa.
Msisitizo; Usisahau kusitisha offer hii kabla siku 30 hazijapata kupita kwa msaada zaidi LinkedIn watakutaarifu kusitisha kwa kukutumia ujumbe kwenye email yako.
The content you watch, the conversations you engage in, and the people around you play a massive role in shaping your thoughts and actions.
It may seem like a simple idea, but in reality, it has a profound impact on your mindset, habits, and future. Let me explain
Habits Define Character
What you do repeatedly becomes part of who you are.
For instance, if you spend hours consuming content that adds no value like meaningless social media trends you are training your mind to focus on distractions rather than personal growth. Over time, this mindset influences the choices you make and the goals you pursue.
On the other hand, if you surround yourself with people who read, write, and engage in thought-provoking discussions, you naturally adopt similar habits. Your environment subtly shapes your character— whether you realize it or not.
Repetition Shapes Belief
Friends might be telling you constantly saying, “Try gambling, it’s easy money!” Initially, you may resist because you know the risks.
But as they repeatedly share their winnings—“Today, I won 50,000/=, tomorrow 200,000/=” you begin to reconsider. The more you hear it, the more familiar it becomes, and eventually, you might decide to give it a try. That’s how habits form, and before you know it, you’re stuck in a cycle that’s hard to break.
Gambling is just one example, but this applies to any repeated influence positive or negative. Your surroundings shape your decisions.
What Holds You Back?
One major setback is the fear of standing out. People often seek approval from friends and society, thinking, “What will others say if I do this?” or “I want to fit in.”
There’s nothing wrong with belonging to a group, but ask yourself: Does this support my growth? Is this leading me toward the future I want?
The most successful people are those who pursue their goals without constantly worrying about external validation. They take control of their choices and push forward, regardless of popular opinion.
“Be yourself; everyone else is already taken.” – Oscar Wilde
Don’t get me wrong, This doesn’t mean isolating yourself. Some goals require teamwork, and collaboration is essential. The key is balance choosing wisely what aligns with your aspirations.
Living the life you want sometimes requires making difficult decisions so your future could be great because nobody will come to live your life. You’re the one to decide before things go wrong.
Your Brain Works Like AI
Think of your brain as an artificial intelligence system. The quality of the output depends on the quality of the input. If you consistently feed it with negativity, misinformation, and distractions, it will produce the same in return.
But if you fill it with knowledge, meaningful conversations, and growth-focused ideas, you set yourself up for success.
How to Stand Out
If you consume the same information as everyone else, follow the same trends, and think the same way, what makes you different?
Standing out requires seeking unique knowledge and experiences. Make learning a lifelong habit. Challenge yourself to explore beyond the ordinary. This mindset not only enhances your skills but also gives you an edge in any field.
The Key Takeaway
Your environment matters. The people you interact with, the content you consume, and the habits you build shape your future.
Choose wisely. Surround yourself with a community that supports your goals, pushes you to grow, and aligns with the person you want to become.
When you do this, you create an atmosphere that fuels success.
Becoming who you want, starts by identifying what do you want to be known for? Which skills do you need to have? What are the goals you want to achieve? at what time?
Knowing who you want to be is crucial for personal growth and self-development though many young individuals often overlook the necessity of proper planning while their blood is still young.
I asked this question to many students and the answers were almost the same “You know the future is unknown, I will do whatever comes in, tomorrow will care about itself”. Yes, The future is unknown, but relying on “tomorrow will care about itself” may lead to total failure.
The future is in your hands
Nobody holds your life, you’re the builder and destroyer of yourself. In this era of confusion and frustrations its better you set up clear goals and prepare for opportunities you wish to delve into, so you can navigate the job market with confidence and achieve your desired outcomes.
Assume you want to be a graphic designer, dedicating yourself to it and letting it become a part of your identity wherever you go after two years of consistent dedication, you’ll find that your proficiency as a designer speaks for itself.
One of the biggest mistakes many youths make is not having a clear vision of who they wish to be. They often attribute the uncertainty of life as a reason for their lack of direction. Many come to understand the power of knowing their title early as the sun is approaching to its sunset.
I argue that life is unpredictable, but that should not hinder you from calling the title you want for your future. Believing in yourself, discovering yourself, and actively working towards them, you become that person regardless of the challenges you may face even if is not, you will have something to begin with.
Difficulties of the job market is not an option.
The job market can indeed be complex, but it is not an excuse to leave your future to chance. You must break free from the mindset of living day by day like chickens mindlessly pecking at the ground. Instead, you should adopt a proactive approach, and shape your own destiny.
It is said that luck happens when opportunity meets preparation. This rings true when it comes to planning for your next step. Preparing yourself through side hustle, tinkering, and learning new skills you become ready to tap opportunities in stressful job markets when they arise.
You become who you wish
Ask yourself, “Who do I want to become?” Visualize the person you aspire to be, and then make more efforts to reach that destination. To get what you want requires commitment and passion whether you do or die fighting.
Having multiple titles before you master the first one will not help. Today you’re a hacker, tomorrow you’re a DJ, and the day after tomorrow you’re BF SUMA agent. In this way you will end up saying things are too time is not enough and it will.
Find mentors where necessary
The most important advice many youth should adhere to is finding mentors in their own field. Mentors will provide valuable insights and advice to help you navigate the job market and make informed decisions about your future.
No matter how smart you are, mentors will help you become the true version of yourself. It’s not necessary that a mentor must be the one who you meet face to face but anyone whom you’re inspired by.