Makala za kiswahili.
Karibu ujifunze kuhusu websites, fursa mtandoni na mambo mengine muhimu kwenye uchumi wa kidigitali.
Jinsi Majukwaa ya Kidigitali Yatakavyokusaidia Kukuza Biashara Yako
Ukiamua kutumia digital platforms kutangaza huduma/biashara yako ili watu wengi waifahamu, wakutafute ufanye nao kazi (partners), wanunue bidhaa zako n.k inahitaji kujitoa muda wako, pesa na kuwa tayari kuendana na hali ya soko. Kutumia majukwaa ya mtandaoni...
Mambo Ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Hosting
Baadhi ya matatizo yanayotokea kwenye website kama loading time, performance, critical error na kushindwa kufanya baadhi ya changes hutokea kwa sababu ya hosting service uliyonunua.Wakati mwingine huwa ni teknolojia mbovu ya hosting (Outdated).Kabla ya kununua au...
Umuhimu Wa Kuwa Na Website Licha Ya Kutegemea Mitandao Ya Kijamii Kupata Wateja
Kuna swali niliwahi kuulizwa “Kama ninapata wateja na kila kitu ninachokitaka kupitia mitandao ya kijamii je, kuna umuhimu gani wa kuwa na website” Vipi kama ungelikuwa na website, si ungekuwa unapata wateja mara mbili zaidi? Okay, social media siyo majukwaa...
Kujifunza Web Design Ni Rahisi
Kujifunza web design na ukaimaster vizuri ni rahisi sana ikiwa tu utapata mtu anayejua na amekuwa akifanya hiko kitu miaka mingi kuliko kukomaa mwenyewe.Utapita njia fupi ambayo ulitakiwa kujifunza miaka mitatu wewe ukajifunza ndani ya mwezi mmoja au miwili. Hapo...
Yajue Malengo 3 Kabla Ya Kutengeneza Website Yako
Malengo ya kuanzisha tovuti huwa yanatofautiana kulingana na mmiliki wa tovuti hiyo. Malengo yangu na yako yanaweza yakatofautiana kulingana na mitazamo, mahitaji yetu kuwa tofauti Kimsingi watu wengi wanaoanzisha tovuti huwa na malengo ya kupata pesa. Ukizingatia...
Umuhimu wa Kutengeneza Website/Tovuti 2024
Mtu akikuangalia akaona huna website anaanza kukulianganisha na scams. Sababu biashara nyingi zilizo serious lazima utakuta zina website. Website inayobeba heshima ya biashara zao. Website inampa mmiliki uwezo wa kufanya kile anachotaka ili kusudi ionekane yakipekee...
Jinsi ya Kuuza Bidhaa, Ujuzi Kupitia WhatsApp Business
Siku moja nilikuwa nimekaa zangu ghetto mida ya saa kumi na mbili jioni nasoma Hekaya za Abunuwasi, ghafla ujumbe ukatumwa kupitia WhatsApp kutoka kwa rafiki yangu akisema nimsaidie kutangaza hard disc drive aliyokuwa anauza. Bila hiana kesho yake nikaipost kwenye...
Fahamu Jinsi ya Kuuza Bidhaa, Ujuzi Mtandaoni
Mtandaoni ni sehemu ambayo maajabu hutokea, yalinitokea mimi mwishoni mwa mwaka 2022 nami nikasadiki kuwa mambo ambayo wengi hudhani hayawezekani huku mtandaoni yanawezekana hasa kwa yule anayetazamia kuuza bidhaa au ujuzi wake kupitia majukwaa ya kidigitali. ...
Jinsi ya Kujiunga LinkedIn Premium Bure (na faida zake)
Je, ulishawahi kujaribu kujiunga linkedin premium ukashindwa? Ulishindwa kwa sababu ni ya kulipia? Linkedin premium ina faida gani? Au hujawahi kabisa kufikiria kuhusu Linkedin premium? Hata mimi kipindi najiunga LinkedIn sikujua kama kuna Premium yake na sikujua kama...