Makala za kiswahili.

Karibu ujifunze kuhusu websites, fursa mtandoni na mambo mengine muhimu kwenye uchumi wa kidigitali.

Mambo Ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Hosting

Mambo Ya Kuzingatia Unapotaka Kununua Hosting

Baadhi ya matatizo yanayotokea kwenye website kama loading time, performance, critical error na kushindwa kufanya baadhi ya changes hutokea kwa sababu ya hosting service uliyonunua.Wakati mwingine huwa ni teknolojia mbovu ya hosting (Outdated).Kabla ya kununua au...

Yajue Malengo 3 Kabla Ya Kutengeneza Website Yako

Yajue Malengo 3 Kabla Ya Kutengeneza Website Yako

Malengo ya kuanzisha tovuti huwa yanatofautiana kulingana na mmiliki wa tovuti hiyo. Malengo yangu na yako yanaweza yakatofautiana kulingana na mitazamo, mahitaji yetu kuwa tofauti Kimsingi watu wengi wanaoanzisha tovuti huwa na malengo ya kupata pesa. Ukizingatia...

Umuhimu wa Kutengeneza Website/Tovuti 2024

Umuhimu wa Kutengeneza Website/Tovuti 2024

Mtu akikuangalia akaona huna website anaanza kukulianganisha na scams. Sababu biashara nyingi zilizo serious lazima utakuta zina website. Website inayobeba heshima ya biashara zao. Website inampa mmiliki uwezo wa kufanya kile anachotaka ili kusudi ionekane yakipekee...

Jinsi ya Kuuza Bidhaa, Ujuzi Kupitia WhatsApp Business

Jinsi ya Kuuza Bidhaa, Ujuzi Kupitia WhatsApp Business

Siku moja nilikuwa nimekaa zangu ghetto mida ya saa kumi na mbili jioni nasoma Hekaya za Abunuwasi, ghafla ujumbe ukatumwa kupitia WhatsApp kutoka kwa rafiki yangu akisema nimsaidie kutangaza hard disc drive aliyokuwa anauza. Bila hiana kesho yake nikaipost kwenye...

Fahamu Jinsi ya Kuuza Bidhaa, Ujuzi Mtandaoni

Fahamu Jinsi ya Kuuza Bidhaa, Ujuzi Mtandaoni

Mtandaoni ni sehemu ambayo maajabu hutokea, yalinitokea mimi mwishoni mwa mwaka 2022 nami nikasadiki kuwa mambo ambayo wengi hudhani hayawezekani huku mtandaoni yanawezekana hasa kwa yule anayetazamia kuuza bidhaa au ujuzi wake kupitia majukwaa ya kidigitali. ...

Jinsi ya Kujiunga LinkedIn Premium Bure (na faida zake)

Jinsi ya Kujiunga LinkedIn Premium Bure (na faida zake)

Je, ulishawahi kujaribu kujiunga LinkedIn premium ukashindwa? Ulishindwa kwa sababu ulitakiwa kulipia? Je, linkedIn premium ina faida gani? Hata mimi kipindi najiunga LinkedIn sikujua kama kuna Premium yake na sikujua kama ninaweza kupata for free. Kuna siku Mentor...